LIVE STREAM ADS

Header Ads

ONESHO LA MAVAZI LAFANA JIJINI MWANZA. TAZAMA WANAMITINDO WALIVYOPENDEZA.

Wanamitindo wakipita na vazi la Ufukweni lililobuniwa na Kampuni ya Urembo ya Darling.
Onesho la Mavazi liyoandaliwa na The Rock City Fashion  ambalo lilifanyika Jana Jijini Mwanza
limefana na hivyo kuwavutia Wenyeji wa Jiji la Mwanza na Watazamaji mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi waliofika katika Onesho hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Sea Breeze uliopo New Mwanza Hotel.
Mwanamitindo Najma Mohamed, kutoka Jijini Mwanza akipita na Kivazi cha Ufukweni.
 
Wanamitindo wakipita na vazi la Kiafrika lililobuniwa na Kouassi Marcelline kutoka nchini Ivory coast.
Wanamindo walionesha Mavazi mbalimbali. Onesho lilifanikiwa kwa Udhamni wa Kapuni ya Vinywaji ya Cocacola, CMG Campany, Semira Electronics, Barmedas tv, Witney Fashion, Darling.
Mwanamitindo Nasri akionesha Kivazi Wikiendi.
Mwanamitindo Jilad Kidoti akipita na Kivazi cha jioni.
Samiat Said (Kushoto) Mtangazaji wa Kipindi cha Nani Zaidi kinachorushwa na Kituo cha Runinga cha Barmedas akiwa na Shabiki wake Red Carpet.
Waandaaji wa Onesho hilo, Ghezzal Mohamed (Kushoto) na Neema Malesa (Kulia).

Picha: Charles Mseti.

No comments:

Powered by Blogger.