ADAPTER (KATIKATI) AKIWA NA WASANII WA ROCK CITY-MWANZA.
Msanii anafahamika kwa jina la Adapter kutoka Jijini
Mwanza. Hii ni ngoma yake mpya ambayo inafahamika kwa jina la “KINOMA NOMA” ambapo ni Mkono wa kwake Loll Pop kutoka Studio za K Records. Kiukweli hii ngoma mimi imeniacha hoi, mbali ya kuwa ngoma kali na inayoeleweka, lakini pia kila mmoja humo ndani kafanya poa sana. Adapter amewashirikisha Mauzo pamoja na Alee. Hii inaitwa Homa ya Jiji kwa hivi sasa.
|
No comments: