LIVE STREAM ADS

Header Ads

RADIO METRO FM YAMPONGEZA MTANGAZAJI WAKE AMINA RASHIDI.

Mtangazaji wa Radio Metro Amina Rashid aka Mamaa wa Mipasho (Kushoto) akiwa na Mahaba niue wake (Mmewe)
Joseph Makongolo (Kulia) kwa pamoja wakiwa na Mtoto wao wa Kwanza Prince Joseph Makongolo huko nyumbani kwao Malimbe Jijini Mwanza. Amina Rasidi bado yuko katika Mapumziko yake ya Uzazi baada ya Kujifungua June Mwaka huu na Anatarajia kuungana na Mashabiki zake Mwezi wa Tisa Mwishoni. Team nzima ya Metro FM ilimpongeza Amina Rashid kwa Zawadi ya Mtoto aliyowaletea na hivyo kumuombea baraka tele katika kumlea mtoto Prince ambae alizaliwa katika Hospital ya Bugando Jijini Mwanza.
"Familia Tujenge Pamoja, Daima tutakutunza Mwanetu Mpendwa Prince"
Sefroza Joseph ambae ni Mtangazaji wa Metro FM akiwa na Mtoto Prince.
Sefroza Joseph ambae ni Mtangazaji wa Metro FM akiwa na Mtoto Prince.
Mtangazaji na PM wa Radio Metro, Delphina Kyaruzi akiwa na Mtoto Prince.
Mtangazaji na PM wa Radio Metro, Delphina Kyaruzi akiwa na Mtoto Prince.
George Binagi-GB Pazzo, Mtangazaji wa Radio Metro na Mmiliki wa Blog hii akiwa na Anko wake Prince.
Mtangazaji wa Radio Metro na Mmiliki wa Black Touchez Blog akiwa na Mtoto Prince.
Amina Rashid Akiwakarimu Wageni Kutoka Radio Metro Waliofika jana nyumbani kwake Malimbe Kumpa Hongera baada ya Kujifungua salama. Amina alijifungua Mwezi June Mwaka huu.
Managing Director wa Mtanzania Media Blog akipata Kitu tumbo inapenda.
Delphina (Kushoto) akiwa na Sefroza wote kutoka Metro FM wakiitendea haki Wizara ya Chakula.
Kwa niaba ya Metro FM, Sefroza Joseph akimkabidhi Mtoto Prince zawadi kutoka kwa Ankoz na Antiz kutoka Metro FM.
Delphina Kyaruzi akimkabidhi Mtoto Prince zawadi.
Frank M.Joackim akimkabidhi Mtoto Prince Zawadi.
GB Pazzo akimkabidhi Mtoto Prince Zawadi.
Amina Rashid Akiwa na First born wake, Mtoto Prince.
Joseph Makongolo, baba wa Mtoto Prince aka Ndele.
"Hakika tutakulinda Daima na Milele"
Na: George Binagi @99.4 Metro FM & Mtanzania Media.

No comments:

Powered by Blogger.