BRANDY NEW TRACK HAINA NOMA BY ORGAN TAI.
Organ Tai-Rock City Mwanza
Na:George Binagi-GB Pazzo
Msanii Organ Tai ambae anatamba kwa sasa na ngoma yake mpya ya Haina Noma.ISIKILIZE NA KUIDOWNLOAD NGOMA YA HAINA NOMA HAPA CHINI.
Haina Noma ni ngoma ya kwanza kutoka kwa Organ Tai ambae anatokea Jijini Mwanza. Kwa Mawasiliano zaidi Mcheck jamaa kupitia namba 0756 78 59 15 AU 0673 91 20 35 kwa ushauri na masuala mbalimbali ya kikazi zaidi.
No comments: