AIRTEL NA TRESSA KATIKA MAONYESHO YA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI JIJINI MWANZA.
| Mteja wa Airtel akishow Love na Mhudumu wa Airtel katika Maonyesho ya Biashara ya Afrika Mashariki yaliyofanyika Jijini Mwanza kuanzia tarehe 29.08.2014 hadi tarehe 07.09.2014. |
| Huduma zikiendelea katika banda la Airtel wakati wa Maonyesho ya Biashara ya Afrika Mashariki yaliyofanyika Jijini Mwanza kuanzia Agost 29 hadi Septemba 07 mwaka huu. |
| Ahsante kwa kutembelea Mtanzania Media, Karibu tena. Kwa Pamoja, Tuijuze Jamii. |
No comments: