LIVE STREAM ADS

Header Ads

NEW SONG: SHAICON-NAISUBIRI KESHO

Msanii Shaicon.
Wanasema jamaa ameleta balaa katika game ya Hip Hop hapa nchini. Na hii ni kutokana na Makali yake ambayo ameyaonyesha katika Ngoma yake Mpya ikiwa ni Ngoma ya Kwanza pia kuwa Released.

Kama ulikuwa hujui, basi huu ni wakati wa kujua kwamba mshikaji anatokea
Rock City Mwanza, aka Jiji lenye Miaka ambapo mwenyewe anasema katika Mziki ana jukumu la kuhakikisha kwamba nakuhudumia vyema wewe shabiki wa burudani kupitia Mziki wa Hip Hop ambao anaufanya. Kiukweli ni ngumu kumuelezea, kubwa zaidi fanya hivi, Piga hii namba then uliza chochote kumhusu huyu Mshkaji nae atakujibu vyema. Namba ni hii 0784 05 37 19

PATA TIME YA KUISIKILIZA HIYO NGOMA HAPA CHINI:

Msanii Shaicon.
Na:George Binagi.

No comments:

Powered by Blogger.