LIVE STREAM ADS

Header Ads

LOWASA AWA LULU BUNGENI. WABUNGE WAPANGA FOLENI KUMUONA.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, hali yenye msisimko na ya kuonyesha jinsi gani mbunge wa Monduli Ndugu Lowassa anakubalika, imefikia kipindi
hapati nafasi ya kupumua kutokana na wingi wa wabunge kupishana wakitaka kumuon Lowasa.

Sasa nafkiri imefikia wakati spearker wa bunge aangalie hili jambo, na ikiwezekana apige stop wabunge kwenda kumsalimia Lowassa, amesikika mmoja wa mbunge akisema hayo.

Inakadiriwa kwa siku Lowassa anaonwa na zaidi ya wabunge 80 kitu ambacho kinafanya sehemu alipokaa kuwa busy sana.... Huu ni muendelezo wa kuonyesha ni jinsi gani Lowassa ana mvuto na anavyokubalika katika jamii.
NB: Kweli nyota njema uonekana asubuhi.
Na: Thadei Ole Mushi

No comments:

Powered by Blogger.