LIVE STREAM ADS

Header Ads

MWANAMAMA, MFUASI NA KIONGOZI NGURI NDANI YA CCM MKOA WA MWANZA ATIMKIA CHADEMA.

Viongozi mbalimbali wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mkoa wa Mwanza wakiwa katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika hii leo katika Tawi la Ziwa lililopo Kata ya Butimba, Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza ambapo aliekuwa Mfuasi na Kiongozi katika nafasi mbalimbali ndani ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mwanza Veronica Method Tuhoye (Mwenye saa Mkononi) amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. 
Miongoni Mwa nafasi alizokuwa nazo 
Veronica Method Tuhoye ndani ya Chama cha Mapinduzi hadi anatimkia CHADEMA ni pamoja na Mjumbe Kamati Kuu CCM Wilaya ya Nyamagana, Mjumbe wa UWT ndani ya Mkutano Mkuu Mkoa wa Mwanza, Mjumbe baraza la Wanawake Wilaya ya Nyamagana pamoja na Mjumbe Kamati ya Siasa Kata ya Butimba Wilayani Nyamagana.
Akipokea jana Kadi ya Chadema Tuhoye alisema kuwa ameondoka CCM na Kujiunga na CHADEMA kwa ajili ya kuwatumikia wananchi baada ya kuona kwamba ndani ya CCM hapati nafasi ya kufanya hivyo.
Aliekuwa Mfuasi na Kiongozi katika nafasi mbalimbali ndani ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mwanza Veronica Method Tuhoye (Kulia) akiwa katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika jana lilipo Tawi la Ziwa Kata ya Butimba Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza baada ya kutimka kutoka CCM na Kujiunga na Chadema. Kushoto ni Venus Charles Msumeno ambae ni Mwenyekiti wa Tawi hilo.
Aliekuwa Mfuasi na Kiongozi katika nafasi mbalimbali ndani ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mwanza Veronica Method Tuhoye akizungumza jana katika Mkutano wa Hadhara lilipo Tawi la Ziwa Kata ya Butimba Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza baada ya kutimka kutoka CCM na Kujiunga na Chadema.
Aliekuwa Mfuasi na Kiongozi katika nafasi mbalimbali ndani ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mwanza Veronica Method Tuhoye akihutubia jana katika Mkutano wa Hadhara lilipo Tawi la Ziwa Kata ya Butimba Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza baada ya kutimka kutoka CCM na Kujiunga na Chadema. Na hapa alikuwa akionyesha kadi ya CCM aliyokuwa nayo kabla ya Kukabidhiwa Kadi ya Chadema.
Alienyanyua Kadi juu anaitwa Venus Charles Msumeno ambae ni Mwenyekiti wa Tawi la Ziwa Kata ya Butimba Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza akimkabidhi Kadi ya Uanachama Veronica Method Tuhoye (Kushoto Jukwaani) aliejiunga na Chama hicho akitokea Chama cha Mapinduzi CCM.
Kulia Jukwaani ni 
Robert Mwinamila ambae ni Katibu wa Mbunge Jimbo la Nyamagana Mkoani Mwanza. Wanaopiga Picha ni Wananchi na Wafuasi wa Chadema waliokuwa katika Mkutano wa Hadhara wa Kumkabidhi kadi ya Chadema Veronica Method Tuhoye alietimka kutoka CCM.
Robert Mwinamila (Kulia) ambae ni Katibu wa Mbunge Jimbo la Nyamagana Mkoani Mwanza akizungumza katika Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Tawi la Ziwa lililopo Kata ya Butimba Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza ambapo aliekuwa Mfuasi na Kiongozi katika nafasi mbalimbali ndani ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mwanza Veronica Method Tuhoye (Kushoto) amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema.
Katikati ni Askari Mstaafu kutoka JWTZ Wilbroad Willium ambae nae amejiunga na chama Chadema leo hii baada ya kukaa muda mrefu bila kuwa na Chama cha Siasa.
Lucas Lukanga ambae ni Katibu wa Hamasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Ziwa Magharibi akizungumza katika Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Tawi la Ziwa lililopo Kata ya Butimba Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza ambapo aliekuwa Mfuasi na Kiongozi katika nafasi mbalimbali ndani ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mwanza Veronica Method Tuhoye amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema.
Baadhi ya Wananchi na Wafuasi wa Chadema waliofika katika Mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika Tawi la Ziwa lililopo Kata ya Butimba Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza ambapo aliekuwa Mfuasi na Kiongozi katika nafasi mbalimbali ndani ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mwanza Veronica Method Tuhoye amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema.
Baadhi ya Wananchi na Wafuasi wa Chadema waliofika katika Mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika Tawi la Ziwa lililopo Kata ya Butimba Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza ambapo aliekuwa Mfuasi na Kiongozi katika nafasi mbalimbali ndani ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mwanza Veronica Method Tuhoye amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema.
Baadhi ya Wananchi na Wafuasi wa Chadema waliofika katika Mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika Tawi la Ziwa lililopo Kata ya Butimba Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza ambapo aliekuwa Mfuasi na Kiongozi katika nafasi mbalimbali ndani ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mwanza Veronica Method Tuhoye amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema.
Na: George Binagi-GB Pazzo.

No comments:

Powered by Blogger.