LIVE STREAM ADS

Header Ads

KWA NEEMA FM RADIO YAADHIMISHA KIPEKEE MIAKA MITANO TANGU KUANZISHWA KWAKE.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kwa Neema Radio Peter Omary akiwa na Mwenza wake wakikata Keki katika Sherehe ya Miaka Mitano ya KWA NEEMA FM RADIO iliyopo Kiloleni Ilemela Mkoani Mwanza, Sherehe hiyo ilifanyika jana katika Ukumbi wa JB Belmont Hotel Jijini Mwanza.
 Na:George GB Pazzo
Mkurugenzi Mtendaji wa Kwa Neema Radio Fm Peter Omary akiwalisha Keki wageni Waalikwa Meza Kuu jana Usiku katika Sherehe ya Miaka Mitano ya Kwa Neema Fm Radio iliyofanyika JB Belmont Hotel.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kwa Neema Radio Fm Peter Omary akiwalisha Keki wageni Waalikwa Meza Kuu jana Usiku katika Sherehe ya Miaka Mitano ya Kwa Neema Fm Radio iliyofanyika JB Belmont Hotel.
Happy Birth day 98.2 Kwa Neema Fm Radio
Timu ya Kwa Neema Radio Fm ikiongozwa na Peter Omary ambae ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kwa Neema Radio Fm wakishangilia kwa pamoja kabla ya zoezi la Kukata Keki jana usiku katika Sherehe ya Miaka Mitano ya Radio hiyo tangu kuanzishwa kwake mwaka 2010.
Wageni waalikwa pamoja na baadhi ya wanafamilia ya Kwa Neema Radio Fm wakiwa katika sherehe ya Miaka Mitano ya Radio hiyo ilizofanyika jana katika Ukumbi wa JB Belmont Hotel.
Baadhi ya Wageni wakiwa katika sherehe ya Miaka Mitano ya Kwa Neema Radio ilizofanyika jana katika Ukumbi wa JB Belmont Hotel.
Baadhi ya Wageni wakiwa katika sherehe ya Miaka Mitano ya Kwa Neema Radio ilizofanyika jana katika Ukumbi wa JB Belmont Hotel.
Mgeni Rasmi Victoria John  (Kulia) akiwa pamoja na wageni wengine.
Baadhi ya Wageni wakiwa katika sherehe ya Miaka Mitano ya Kwa Neema Radio ilizofanyika jana katika Ukumbi wa JB Belmont Hotel.
Mama Nyimbo (Kulia) ambae alikuwa mpambaji wa Ukumbi katika Sherehe ya Miaka Mitano ya Kwa Neema FM Radio akizungumza katika sherehe hizo zilizofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya JB Belmont Hotel. Kushoto Mtangazaji wa Kwa Neema Radio Rackline Raphael ambae ni alikuwa Mmoja wa Ma-Mc wa shughuli hiyo.
Wanafamilia ya Kwa Neema Fm Radio wakijimwayamwaya Jukwaani katika Sherehe ya Miaka Mitano ya Radio hiyo ilizofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya JB Belmont Hotel.
Wanafamilia ya Kwa Neema Fm Radio wakijimwayamwaya Jukwaani katika Sherehe ya Miaka Mitano ya Radio hiyo ilizofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya JB Belmont Hotel.
Wanafamilia ya Kwa Neema Fm Radio wakijimwayamwaya Jukwaani katika Sherehe ya Miaka Mitano ya Radio hiyo ilizofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya JB Belmont Hotel. Mwenye Kinasa sauti ni Joel Maduka.

Wanafamilia ya Kwa Neema Fm Radio wakijimwayamwaya Jukwaani katika Sherehe ya Miaka Mitano ya Radio hiyo ilizofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya JB Belmont Hotel.
Wanafamilia ya Kwa Neema Fm Radio wakijimwayamwaya Jukwaani katika Sherehe ya Miaka Mitano ya Radio hiyo ilizofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya JB Belmont Hotel. Mwenye Kinasa sauti ni Evaline Endrew ambae ni Meneja wa Kwa Neema Radio.
Hapa Mgeni Rasmi Mtumishi wa Mungu Victoria John (Kushoto) kutoka Mkoani Arusha kwa kushirikiana na Mchungaji Anna Tiba (katikati) kutoka kanisa la Agape Life Mwanza wakizindua Vitabu viwili ambavyo ni KULIPENDA TAIFA NA KULIJENGA pamoja na MAWAZO YA MABILIONAIRE vilivyoandikwa na Bishop Augustine Mpemba.
Hatimae Vitabu vikawa vimezinduliwa na hapa Fabian Fanuel mwanafamilia ya Kwa Neema ambae pia alikuwa Mmoja wa Ma-Mc akitoa manjonjo yake jukwaani.
Mtumishi wa Mungu kutoka Mkoani Arusha Victoria John ambae alikuwa Mgeni Rasmi katika Sherehe ya Miaka Mitano ya Kwa Neema Fm Radio akizungumza mara baada ya Uzinduzi wa Vitabu viwili Kulipenda Taifa na Kulijenga na Mawazo ya Mabilionarire vilivyoandikwa na Bishop Augustino Mpemba.
Kwaya pamoja na Wimbaji mbalimbali za Muziki wa Injili pia walikuwepo katika Sherehe hiyo ya Kwa Neema Fm Radio iliyofanyika jana ndani ya JB Belmont Hotel Jijini Mwanza ambapo miongoni mwao ni Mwimbaji Betty Lucas ambae alitumbuiza vyema sana hususani katika Wimbo wake wa Unaona nini katika Ulimwengu wa Roho.
SOURCE:BINAGI MEDIA GROUP

No comments:

Powered by Blogger.