LIVE STREAM ADS

Header Ads

MSIKILIZE ELIZAYO HB AKISEMA KUWA ANAFURAHI KUWA NAWE.

Na:George GB Pazzo
Mabibi na Mabwana hii ni ngoma mpya ya mwanetu mwenyewe Elizayo HB kutoka Rock City Mwanza-Mwanza ambayo inafahamika kwa jina la Nafurahi Kuwa Nawe ikiwa ni Mkono wake Producer Tiddy Hotter pande za One Love Fx Mwanza.
PATA TIME YA KUISIKILIZA NGOMA HIYO HAPA CHINI

                                          BINAGI MEDIA GROUP-0757 43 26 94

No comments:

Powered by Blogger.