LIVE STREAM ADS

Header Ads

NAVY KENZO WADONDOSHA BONGE LA BURUDANI JIJINI MWANZA KATIKA EVENT YA SAMAKI CARNIVAL.

Wapenzi wa Burudani wakifurahi Performance kutoka kwao NAVY KENZO (AIKA NA NAHREEL) wakati wakiperfom usiku wa kuamkia leo katika Viunga vya YUNGLONG CHINESE HOTEL Jijini Mwanza katika ile Event kubwa kabisa ya SAMAKI CARNIVAL inayoandaliwa na FINE TOUCH EVENTS.
Na:George GB Pazzo
Burudani ilikuwa poa sana kiasi cha kuwafanya Navy Kenzo kila wakitaka kushuka jukwaani wanarudishwa na Mashabiki ili waendelee Kuperform...Hakika Navy Kenzo (Aika na Nahreel) waliperform vizuri sana.
Aika (Kushoto) pamoja na Nahreel (Kulia) ambao wanaunda kundi la Navy Kenzo wakiperform katika Event ya Samaki Carnival iliyofanyika jana.
Aika kama hakuamini vile mizuka kutoka kwa wapenda burudani wa Jiji la Mwanza...hongera pia kwa Aika kwa kazi nzuri jukwaani.
Aika akiimba kwa hisia wimbo wa USINIBWAGE jana katika Event ya Samaki Carnival iliyofanyika Yunglong Chinese Hotel Jijini Mwanza.
Hapa aika akiwa makini kusikiliza namna mashabiki wanavyoimba nyimbo zao (Navy Kenzo).
Aika na Nahreel wakiwapa burudani wapenzi wa burudani Jijini Mwanza.
Nahreel akiwajibika jukwaani
Aika (Kushoto) pamoja na Nahreel (Kulia) wakishow love na shabiki wao (katikati)
Aika na Nahreel wakishow love kwa picha na shabiki wao.
Vester kutoka City Fm (Kushoto) akiwa katika mahojiano na Wasanii Aika na Nahreel
Mapichaz kama kawa
Maphotozi kama kawa kwa red carpet
Mahohiano pia muhimu na hapa Simon (kulia) Kutoka Kvant akihojiwa na Erick Shubby kutoka Mwanza Tv (kushoto).
Wapenzi wa burudani nao walihojiwa pia
Hata makada wa vyama vya siasa pia walikuwepo. Hapa Erick Shubby kutoka Mwanza Tv (kushoto) akipiga akifanya mahojiano na Aliekuwa Mbunge wa jiombo la Busega Dr.Raphael Chegeni.
Producer Sappy pia alikuwepo na hapa akihojiwa na Erick Shubby kutoka Mwanza Tv (kushoto).
Hypa (katkati) pia alikuwepo na hapa akihojiwa na Erick Shubby kutoka Mwanza Tv (kushoto)
Mmiliki wa Gsengo Blog na mwandishi wa Clouds Fm Mwanza Albert Gsengo (kulia) pia alikuwepo na hapa akihojiwa na Erick Shubby kutoka Mwanza Tv (kushoto)
Vester kutoka City Fm (Kushoto) akiendelea na Mahojiano na wapenzi wa burudani na hapa namuona mwanamitindo Adam (kulia) kutoka Jijini Mwanza akitandikwa swali.
GB Pazzo (katikati) C.E.O wa mtandao huu na Staff wa Metro Fm pia aliweka kumbukumbu na washkaji kutoka Mwanza Tv ambao ni Erick Shubby (kushoto) pamoja na Suphian (Kulia).
GB Pazzo (kushoto) akiteta na James (kulia) kutoka Kvant
Mshikaji anafahamika zaidi kwa jina la Zombi, nae pia alikuwepo
Bob White Pamba (kulia) pia alikuwa pamoja na mwana maua Classic
Team ya Kiss Fm pia ilikuwepo
Tunakuona...vipi wewe unatuona?...hahahahahaaaaa Barry Nyororo kutoka Fine Touch Events pia alishow Love na wana
Samaki waliochomwa vyema nao waliingia katika kumbukumbu ya picha na hapa Lulu Jamaa (kushoto) kutoka Sahara Media Group akiwa na Erick Shubby kutoka Mwanza Tv (Kulia)
Dj Victor kutoka Club Fussion pia alikuwepo
Jamaa wako vizuri katika uchomaji wa samaki
Samaki walichomwa sana jana katika Event ya Samaki Carnival Msimu wa tatu...jiandae na Msimu wa nne ili usikose kama jana ulikosa...ilikuwa bonge moja na burudani.
BINAGI MEDIA GROUP PRODUCTION

No comments:

Powered by Blogger.