LIVE STREAM ADS

Header Ads

WADAU WA BINAGI MEDIA GROUP WAKUTANA JIJINI MWANZA.

Hawa ni baadhi ya Wadau wa Mtandao huu (BINAGI MEDIA GROUP) ambao jana walikutana Jijini Mwanza kwa ajili ya kufahamiana na kupanga mikakati mbalimbali inayoweza kuwafanya waendelee kuwa pamoja mbali na kukutana kupitia mitandao ya kijamii. Wadau hawa tayari wanapatikana kupitia group la Whatsupp linalofahamika kwa jina la BINAGI MEDIA GROUP. 
Group hili linawajumuisha wadau mbalimbali kutoka sekta tofauti tofauti huku likiwa limepania kusonga mbele zaidi kimaendeleo na hivyo kuleta mapinduzi makubwa kupitia mitandao ya kijamii tofauti na baadhi ya watu wanavyoitumia vibaya mitandao hiyo ambapo pia Group limeweka mikakati mbalimbali ya kusaidiana katika Shida na Raha.
Binagi Media Group Membaz wakishow Love baada ya kukutana jana Lake Hote Jijini Mwanza.
Kutoka kushoto ni Sempa Saadat Ismail, Elizayo HB, Ayub, Beatrice, Jallie, Anko John, Agness, Gervas, GB Pazzo na Loly.
Binagi Media Group Membaz wakishow Love baada ya kukutana jana Lake Hote Jijini Mwanza.
Baadhi ya wanachama wa Binagi Media Group ni Wasanii hivyo hapa msanii Elizayo HB (kulia) akimuuzia mwanagroup mwenzie Beatrice Paul Mtabirwa (kulia) CD yenye wimbo wake mpya.
Kutoka Kushoto ni Anko John, Msanii Elizayo HB, Beatrice Paul Mtabirwa pamoja na Loly Lugata ambao ni Wanagroup wakishow Love baada ya kukutana jana Lake Hotel Jijini Mwanza kwa.
NA ADMIN BINAGI MEDIA GROUP

No comments:

Powered by Blogger.