Wana-BINAGI MEDIA GROUP tayari Milango ilmefunguliwa pande za YUNGLONG CHINESE HOTEL Jijini Mwanza kwa ajili ya Samaki Carvinal Msimu wa tatu.Wahi haujachelewa ambapo tayari AIKA na NAHREEL wamejipanga kwa ajili ya kudondosha burudani pande hizo.
NA FINE TOUCH EVENTS
No comments: