LIVE STREAM ADS

Header Ads

BINAGI RADIO: LIVE KUTOKA WILAYA YA KWIMBA MKOANI MWANZA.

Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza Miraji Mtaturu (Mwenye Kofia) akikagua ujenzi wa Maabara katika shule ya Sekondari Mwagi iliyopo Sumve Wilayani Kwimba alipotembelea shule hiyo March 31 mwaka huu. 
Shule hiyo inatarajia kukamilisha ujenzi wa maabara lakini inakabiliwa na uhaba wa waalimu wa masomo ya sayansi huku ikiwa haina kabisa mwalimu wa somo la Physics.
Ungana na George GB Pazzo pamoja na Amina Rashid kupata taarifa kamili kupitia Binagi Radi hapo chini.
BONYEZA PLAY KUSIKILIZA BINAGI RADIO-HABARI

CHANZO 99.4 METRO FM & BINAGI MEDIA GROUP

No comments:

Powered by Blogger.