LIVE STREAM ADS

Header Ads

WIMBO MPYA: MKAPA BOY-POMBE

                                                        Msanii Mkapa Boy kutoka Mwanza
Na:George GB Pazzo
Mabibi na Mabwana ninayo heshima kubwa kuwaonjesha ladha fulani ya Muziki wa Kiafrika kutoka Kwake Mkapa Boy ambae ni Msanii kutoka Mkoani Mwanza ambae ameachia ngoma yake ya Kwanza inayokwenda kwa jina Pombe.

Asikudanganye mtu hii ngoma ni kali na ukifika katika maeneo yake, utakubaliana na mimi. Mfano mzuri jaribu kuzungukia Wilaya za Mkoa wa Mwanza kama Sengerema na nyinginezo uone namna mahadhi ya ngoma hii yanavyobamba pande hizo.
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA.

CHANZO:ALPHONCE TONNY KAPELA a.k.a DR.TONNY-BINAGI MEDIA GROUP

No comments:

Powered by Blogger.