KAMPUNI YA NYANZA BOTTLING YA JIJI MWANZA YAZINDUA MAJI YA DASANI YENYE MWONEKANO MPYA.
Kampuni ya NYANZA BOTTLING ya Jijini Mwanza ambayo pia ni Watengenezaji wa Vinywaji jamii ya COCACOLA jana MAY 21, 2015 imezindua MAJI MAPYA YA KUNYWA aina ya DASANI yenye UBORA wa hali ya juu pamoja na MWONEKANO WA KIPEKEE na wa KUVUTIA kwa watumiaji wake. Uzinduzi huo ulifanyika katika Igoma Jijini Mwanza zilipo Ofisi za Kampuni hiyo.
Picha zote na Zephania Mandia
DASANI SI MAJI TU BALI NI KIBURUDISHO TOSHA
Hakika Maji haya ya DASANI ni Maji ya Kipekee kabisa...
MAJI HAYA YA DASANI SI MAJI TU, BALI NI KIBURUDISHO HALISI.
SI MAJI TU, BALI NI KIBURUDISHO HALISI
Baadhi ya Wafanyakazi wa NYANZA BOTTLING COMPANY LIMITED wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Maji Mapya aina ya DASANI yenye ubora na Mwonekano wa kuvutia.
Neno Kuhusu Maji haya ya DASANI likitolewa wakati wa hafla ya Uzinduzi wake iliyofanyika jana Igoma Jijini Mwanza katika Viunga vya Kiwanda cha NYANZA BOTTLING COMPANY LIMITED
Baadhi ya Wafanyakazi wa NYANZA BOTTLING COMPANY LIMITED wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Maji Mapya aina ya DASANI yenye ubora na Mwonekano wa kuvutia.
Meneja Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Nyanza Bottling Marco Masaka akizungumza katika Uzinduzi wa MAJI MAPYA ya Dasani uliofanyika jana katika viunga vya Kampuni hiyo Igoma Jijini Mwanza.
DASANI SI MAJI TU BALI NI KIBURUDISHO HALISI...KUNYWA DASANI KILA SIKU KWA AFYA BORA.
No comments: