Karibu katika sehemu ya Kwanza kati ya Mbili za Mahojiano na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Nape Nnauye ambapo anaeleza mengi akianza na Hali ya chama ilivyo kwa sasa pamoja na kauli yake juu ya Ushindi wa Chama hicho katika chaguzi mbalimbali hapa nchini. KARIBU Na:Vijimambo Media & Kwanza Production
KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI CCM NAPE NNAUYE ASEMA CCM ITAENDELEA KUSHINDA CHAGUZI NCHINI.
Reviewed by BMG Media
on
May 18, 2015
Rating: 5
No comments: