LIVE STREAM ADS

Header Ads

MSIKILIZE AMINA RASHID WA RADIO METRO AKIELEZA KAZI AMBAYO ANGEIFANYA KAMA ASINGEKUWA MTANGAZAJI.

Na:Mhariri Binagi Media Group
Wiki hii Amina Rashid ambae ni Mtangazaji wa Radio Metro ya Jijini Mwanza amepata fursa ya kupiga story na Binagi Radio ambapo ameweza kueleza masuala mbalimbali kuhusiana na maisha yake. Katika Kipindi cha Kwanza alizungumzia Mahusiano yake BONYEZA HAPA KUSIKILIZA na katika Kipindi cha Pili akazungumzia namna alivyompata Mpenzi wake na hatimae kuoana BONYEZA HAPA KUSIKILIZA na hii leo tunakuletea sehemu ya mwisho ya mazungumzo aliyoyafanya Amina Radish na Binagi Radio ambapo anaeleza kazi ambayo angekuwa anaifanya kama asingekuwa Mtangazaji.
                                    BONYEZA PLAY KUSIKILIZA BINAGI RADIO HAPA CHINI                                                  BINAGI MEDIA GROUP PRODUCTIONS

No comments:

Powered by Blogger.