LIVE STREAM ADS

Header Ads

WANAFUNZI WA MAHINA SEKONDARI JIJINI MWANZA WATINGA KATIKA STUDIO ZA RADIO METRO FM.

Wanafunzi wa Kidato cha Nne kutoka Shule ya Sekondari Mahina iliyopo Jijini Mwanza leo wametinga katika studio za Radio Metro kwa ajili ya Kujionea shughuli za Uzalishaji na Urushaji wa Vipindi unavyofanyika katika Studio hizo ziliyo katikati ya Jiji la Mwanza.
Wanafunzi hao ni Geofrey Elias, Karekwa Nsahuzi, Veronica Isack pamoja na Scholastica Mkaya wote wakiwa ni wanafunzi wa Kidato cha nne katika Shule hiyo. Katika picha wanaonekana wanafuzni hao wakiwa pamoja na Sephia George (Mwenye Rasta) pamoja na GB Pazzo (wa pili kulia) ambao ni Staffs wa Metro Fm.
Na Mhariri Mkuu: Binagi Media Group
Wa kwanza Kushoto ni Sophia George Mtangazaji wa Mambo Mtelezo ya Metro Fm na wa Kwanza Kulia ni Barazeduka Anselmo ambae pia ni Mtangazaji wa Kipindi hicho.
Alphonce Tonny Kapela ambae ni Mtangazaji na Mshauri wa Vipindi Radio Metro Fm (Kulia) akitoa ufafanuzi kwa Wanafunzi wa Mahina Sekondari waliotembelea Studio za Metro Fm hii leo.
Credi: Radio Metro Fm

No comments:

Powered by Blogger.