LIVE STREAM ADS

Header Ads

MWILI WA MAREHEMU DAVID NGAHYOMA WA STAR TV WAAGWA JIJINI MWANZA KWA AJILI YA MAZISHI.

Mwili wa aliekuwa Mpiga Picha Mahiri na Mzalishaji Msaidizi wa Vipindi wa Kampuni ya Sahara Media Group inayomiliki Runinga ya StarTv DAVID JULIUS NGAHYOMA alieitumikia Kampuni hiyo kwa takribani miaka 15 hadi umauti unamkuta, ukiagwa hii leo Jijini Mwanza kwa ajili ya Kwenda Kupumzishwa katika nyumba yake ya Milele Jijini Dar es Salaam.
Ngahyoma alifariki dunia Juzi Jumatatu May 25, 2015 muda mfupi baada ya kufikishwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando kwa ajili ya Matibabu.

Alianza kuugua ghafla Ijumaa iliyopita May 22, 2015 ambapo alifikishwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza Sekour Toure na baada ya Vipimo ilibainika kuwa alikuwa akisumbuliwa na Maradhi ya Presure Kushuka pamoja na Sukari Kupanda ambapo aliruhusiwa kutoka Hospitalini Jumamosi May 23, 2015 na kutakiwa kurudi hospitalini hapo baada ya Siku tano.

Lakini jumatatu ya May 25, 2015 usiku aliugua tena ambapo asubuhi alipelekewa katika Hospitali ya CF ya Jijini Mwanza na kulwazwa kwa ajili ya Vipimo zaidi. Ilipofika saa Moja za Jioni hali yake ilibadilika ghafla na kuhamishiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando ambapo majira ya saa moja na nusu za jioni alifariki dunia.

Ngahyoma alizaliwa Tarehe 04.04.1970 Jijini Dar es salaam na kufariki dunia tarehe 25.05.2015 Hospital ya Rufaa Bugando Jijini Mwanza ambapo ameacha Mjane na Watato Watatu. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihidimiwe Milele, AMEN!
BINAGI MEDIA GROUP
Dada wa Marehemu akitoa salamu za Shukrani kwa wote walioshiriki kumuaga Ngahyoma Jijini Mwanza.
Dada wa Marehemu
Salamu za Rambirambi zikitolewa
Meneja Utumishi na Utawala kutoka Kampuni ya Sahara Media Group Raphael Shillatu akizungumza wakati wa Kuuaga Mwili ya David Ngahyoma hii leo Capripoint Jijini Mwanza.
Wasifu wa Marehemu ukisomwa
Ibada fupi ya Kuuombea Mwili wa Ngahyoma tayari kwa kusafirishwa kwenda nyumbani kwao Jijini Dar es Salaam ambapo utawasili hii leo jioni kwa ndege na taratibu za mazishi kuendelea.
Mjane wa Marehemu (Katikati) pamoja na Mtoto wa Marehemu...pamoja na waombolezaji wengine
Ndugu, jamaa na Marafiki wakiwa pamoja na Mjane wa Marehemu (wa pili kushoto).
Wanafamilia wakiwa pamoja na Mjane wa Marehemu (mwenye nguo nyeupe).
Waombolezaji
Waombolezaji wakiwa katika Majonzi makubwa
Baadhi ya wafanyakazi wa Sahara Media Group wakiwa pamoja na waombolezaji wengine
Shaban Alley kutoka Sahara Media Group Shinyanga anasema Ngahyoma atakumbukwa kwa Moyo wake wa Kupenda kuwasaidia wenzake siku zote pamoja na Umahiri wake katika Camera...anasema alikuwa ni zaidi ya Mpiga picha nda ndiyo maana alikuwa akijiita Mtalaamu wa Camera.
Waombolezaji
Wanahabari Mwanza wakiwa katika Maombolezo
Ndugu, jamaa na Marafiki wakiuaga Mwili wa Ngahyoma Capripoint Jijini Mwanza tayari kwa ajili ya kuelekea Jijini Dar es salaam kwa ajili ya Mazishi

Wanahabari, Ndugu, jamaa na Marafiki wakiuaga Mwili wa Ngahyoma Capripoint Jijini Mwanza tayari kwa ajili ya kuelekea Jijini Dar es salaam kwa ajili ya Mazishi

Wanahabari, Ndugu, jamaa na Marafiki wakiuaga Mwili wa Ngahyoma Capripoint Jijini Mwanza tayari kwa ajili ya kuelekea Jijini Dar es salaam kwa ajili ya Mazishi.

Ndugu, jamaa na Marafiki wakiuaga Mwili wa Ngahyoma Capripoint Jijini Mwanza tayari kwa ajili ya kuelekea Jijini Dar es salaam kwa ajili ya Mazishi.
Wafanyakazi, Wanahabari, Ndugu, jamaa na Marafiki wakiuaga Mwili wa Ngahyoma Capripoint Jijini Mwanza tayari kwa ajili ya kuelekea Jijini Dar es salaam kwa ajili ya Mazishi.
Mmoja wa Wanandugu akiuaga Mwili wa Ngahyoma Capripoint Jijini Mwanza tayari kwa ajili ya kuelekea Jijini Dar es salaam kwa ajili ya Mazishi.
Baadhi walishindwa kuvumilia
Hakika ni majonzi makubwa
BINAGI MEDIA GROUP, PUMZIKA KWA AMANI NGURI WA CAMERA DAVID JULIUS NGAHYOMA (45).

No comments:

Powered by Blogger.