LIVE STREAM ADS

Header Ads

ZAIDI YA WASANII 260 WAJITOKEZA JIJINI MWANZA KUWANIA NAFASI YA KUTUMBUIZA KATIKA JUKWAA LA JEMBEKA FESTIVAL.

Katika kuelekea Show ya Uzinduzi wa Jembe Fm Radio ya Jijini Mwanza unaotarajia kufanyika May 23 mwaka huu katika Uwanja wa CCM Kirumba, zaidi ya Wasanii 260 ambao wanafanya style tofauti tofauti za muziki wamejitokeza hii leo katika Usaili kwa ajili ya Kuwania nafasi ya Kupanda jukwaani kutumbuiza katika Uzinduzi huo.
Miongoni Mwa wasanii watakaotumbuiza katika Show hiyo ni Pamoja na Young D, Pam D, Izzo Busness, Yamoto Band, JJ Band, Dogo Janja, Chege, Mr.Blue,Juma Nature, Mo Music, Baraka Da Prince, Diamond pamoja na Wengine wengi ambapo Kiingilio itakuwa ni shiling 5,000 na Milango itakuwa wazi kuanzia saa Sita Mchana hadi Majogoo.
Pichani Juu ni Majaji wakiwa Kazini.
Na:George GB Pazzo
Usaiili ukiendelea
Jamaa wakisubiria kuingia katika Usaili katika Viunga Vya Jembe Beach Jijini Mwanza
Miongoni mwa Wasanii waliojitokeza hii leo katika Usaili
Mr.English akitafuta nafasi ya Kupanda Jukwaani siku ya Uzinduzi wa Jembe Fm May 23, Mwaka huu CCM Kirumba
Msanii
Msanii
Dancers
Dancers
Chriss the Dj
Dj K'Flip
Gsengo (Kulia) akiwa na Hassan @Jembe Beach Jembe Fm, Pamoja Sana!

No comments:

Powered by Blogger.