LIVE STREAM ADS

Header Ads

AIDALY CLASSIC ATUA JIJINI MWANZA NA LONGOLONGO TOUR KWA FUJO ZOTE.

Longo Longo Tour inatarajia kutembelea Vituo Vyote vya Radio Jijini Mwanza ambapo Msanii AIDALY CLASSIC Kutoka Jijini Dar es salaam anatarajia kutambulisha Wimbo wake Mpya unaoitwa LONGOLONGO ambao umepikwa katika Studio iitwayo Big Base Record chini ya Mkono wa Producer Tyata.
Katika Tour hiyo pia atakuwepo Mkali wa Hip Hop G-Stanza kutoka Jijini Mwanza ambae kwa sasa anafanya mishe zake za Muziki Jijini Dar es salaam.
DOWNLOAD NA KUSIKILIZA LONGOLONGO HAPA CHINI

Hii ndiyo Song Cover ya Msanii AIDALY CLASSIC kutoka Jijini Dar es salaam
BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII-0757 43 26 94

No comments:

Powered by Blogger.