LIVE STREAM ADS

Header Ads

BENKI YA CRDB YATOA SEMNA ULIPO TUPO KWA VIONGOZI WA HALMASHAURI ZA MIKOA YA KANDA YA ZIWA.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mh.Hawa Ghasia akifungua Semna ya ULIPO TUPO kwa Viongozi wa Halmashauri za Mikoa ya Kanda ya Ziwa katika Ukumbi wa Gold Crest Jijini Mwanza jana. Ulipo Tupo ni Huduma ya Kibenki inayotolewa na Benki ya CRDB.
Na:George GB Pazzo
Katika Semna hiyo Waziri Ghasia alitoa rai kwa Halmashauri zote za Mikoa ya Kanda ya Ziwa kuendeleza ushirikiano wake na Benki ya CRDB katika kubuni na kuendeleza miradi mbalimbali ya Maendeleo baada ya Benki hiyo kufungua Milango ya ushirikiano na Halmashauri hizo.

Dr.Charles Kimei ambae ni Mkurugenzi wa Benki ya CRDB ambayo imechaguliwa na Halmashauri za Mikoa ya Kanda ya Ziwa kuchukua jukumu la kulipa Mishahara ya Watumishi wa Halmashauri hizo, iliahidi kulipa mishahara hiyo kwa wakati huku pia ikiahidi kutoa mikopo mbalimbali kwa watumishi wa halmashauri hizo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mh.Hawa Ghasia (kushoto) akifungua Semna ya ULIPO TUPO kwa Viongozi wa Halmashauri za Mikoa ya Kanda ya Ziwa katika Ukumbi wa Gold Crest Jijini Mwanza jana.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo akizungumza jana wakati wa semna ya ULIPO TUPO kwa Viongozi wa Halmashauri za Mikoa ya Kanda ya Ziwa iliyofanyika katika Ukumbi wa Gold Crest Jijini Mwanza jana.
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga akizungumza jana wakati wa semna ya ULIPO TUPO kwa Viongozi wa Halmashauri za Mikoa ya Kanda ya Ziwa iliyofanyika katika Ukumbi wa Gold Crest Jijini Mwanza jana.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB Dr.Charles Kimei akizungumza jana wakati wa semna ya ULIPO TUPO kwa Viongozi wa Halmashauri za Mikoa ya Kanda ya Ziwa iliyofanyika katika Ukumbi wa Gold Crest Jijini Mwanza jana.
Mshereheshaji wa Semna
Washiriki wa Semna ya ULIPO TUPO kwa Viongozi wa Halmashauri za Mikoa ya Kanda ya Ziwa iliyofanyika katika Ukumbi wa Gold Crest Jijini Mwanza jana.
Washiriki wa Semna ya ULIPO TUPO kwa Viongozi wa Halmashauri za Mikoa ya Kanda ya Ziwa iliyofanyika katika Ukumbi wa Gold Crest Jijini Mwanza jana.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mh.Hawa Ghasia (kushoto) akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo (Kulia) katika Semna ya ULIPO TUPO kwa Viongozi wa Halmashauri za Mikoa ya Kanda ya Ziwa iliyofanyika katika Ukumbi wa Gold Crest Jijini Mwanza jana.
Washiriki wa Semna ya ULIPO TUPO kwa Viongozi wa Halmashauri za Mikoa ya Kanda ya Ziwa iliyofanyika katika Ukumbi wa Gold Crest Jijini Mwanza jana.

No comments:

Powered by Blogger.