LIVE STREAM ADS

Header Ads

Konisaga azindua Wakala na Vilainishi vya Engen Kanda ya Ziwa

Mkuu wa Wilaya Nyamagana mkoani Mwanza, Baraka Konisaga (wa pili kulia) akipokea kilainishi cha Oil aina ya ENGEN kutoka kwa Msambazaji wa Vilainishi (Oil) vya ENGEN Kanda ya Ziwa, Zakaria Hans Poppe (wa pili kushoto) kupitia kampuni yake ya ZH POPPE LTD.

Hii ilikuwa jana katika uzinduzi wa Wakala na Vilainishi vya ENGEN Kanda ya Ziwa uliofanyika katika uwanja wa Furahisha wilayani Ilemela. Wakala wa ENGEN anapatikana katika jengo la G & G Hotel Jijini Mwanza.

ENGEN ni vilainishi (OIL) bora kwa ajili ya vyombo vya moto vya kila aina ikiwa ni pamoja na pikipiki na magari ya kila aina.
Na George Binagi-GB Pazzo
Wakala wa Vilainishi vya ENGEN Kanda ya Ziwa, ZH Poppe akizungumza katika uzinduzi wa Wakala na Vilainishi (Oil) vya Engen uliofanyika katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza.
Katikati ni Wakala wa Vilainishi vya ENGEN Kanda ya Ziwa, ZH Poppe akizungumza katika uzinduzi wa Wakala na Vilainishi (Oil) vya Engen uliofanyika katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza.
Shaaban Kayungilo ambaye ni Meneja Masoko kampuni ya Engen Tanzania.
Shaaban Kayungilo ambaye ni Meneja Masoko kampuni ya Engen Tanzania.
Mubita Akapelwa ambaye ni Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Engen.
Mubita Akapelwa ambaye ni Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Engen.
Baraka Konisaga ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza.
Kulia ni Baraka Konisaga ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza.
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Baraka Konisaga akizindua Wakala na Vilainishi (OIL) vya ENGEN Kanda ya Ziwa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo.
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Baraka Konisaga (kulia) akipokea kilainishi (Oil) aina ya ENGEN kutoka kwa Wakala ZH Poppe (Kushoto).
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza (kulia) akipokea zawadi ya utambuzi kutoka kwa Mubita Akapelwa (kushoto) ambaye ni Mtendaji Mkuu kampuni ya Engen baada ya uzinduzi wa Wakala na Vilainishi (Oil) vya ENGEN Kanda ya Ziwa.
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Baraka Konisaga (Mtumishi wa Mungu) akionyesha zawadi aliyopokea kutoka kwa Mubita Akapelwa (katikati) ambaye ni Mtendaji Mkuu kampuni ya Engen.
VILAINISHI BORA (OIL) MBALIMBALI AINA YA ENGEN...
ENGEN. KWETU WEWE NI NAMBARI MOJA...
PICHA YA PAMOJA
Wa kwanza kutoka kushoto ni George Mweta ambaye ni Afisa Mauzo wa kampuni ya Engen Kanda ya Ziwa, akifuatiwa na Shaaban Kayungilo ambaye ni Meneja Masoko kampuni ya Engen Tanzania, anayefuata ni ZH Poppe ambaye ni Wakala wa Vilainishi vya Engen Kanda ya Ziwa, anayefuata ni Baraka Konisaga ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, akifuatiwa na Mubita Akapelwa ambaye ni Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Engen na wa mwisho ni Paulo Muhato ambaye ni Meneja Miradi wa kampuni ya Engen Afrika Mashariki.
Wananzengo wakishuhudia uzinduzi wa Wakala na Vilainishi (OIL) vya ENGEN Kanda ya Ziwa katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza.
Burudani pia ilikuwepo.
Vipeperushi juu ya Oil za Engen vilikuwa vikitolewa hapa.
Mshereheshaji alikuwa ni Imani Hezron ambaye pia ni Mtangazaji na Mwanahabari kutoka City FM Radio ya jijini Mwanza.

No comments:

Powered by Blogger.