LIVE STREAM ADS

Header Ads

MTOTO GIFT ASHEREHEKEA MIAKA MIWILI YA KUZALIWA KWAKE.

Mtoto GIFT MREMA JUMA wa Jijini Mwanza akikata Keki kwa ajili ya Kuwalisha ndugu, jamaa na Marafiki katika Birth Day Party iliyofanyika jana. Mtoto Gift alizaliwa JUNE 15, 2013 hivyo jana alitimiza Miaka Miwili.
Binagi Media Group, inaungana na Baba wa Mtoto Gift, Afande Mrema Juma wa Kituo cha Polisi Kirumba Jijini Mwanza Kumtakia Gift Maisha Mema huku akikua katika Uwepo wa Kumjua Mungu.
HAPPY BIRTH DAY GIFT MREMA JUMA
Picha nyingine bonyeza HAPA

No comments:

Powered by Blogger.