LIVE STREAM ADS

Header Ads

MWAMINI MALEMI AFUNGUA MKUTANO WA TEKNOLOJIA NA HUDUMA ZA ULINZI WA UMMA.

Naibu Katibu Mkuu Wizaraya Mambo yaNdani ya Nchi, Mwamini Malemi akifungua juzi Mkutano wa Teknolojia na Huduma za Ulinzi wa Umma katika Hoteli ya Double Tree Jijini Dar es Salaam. Mkutano huu unawashirikisha wadau wa sekta Teknolojia ya Usalama kutoka nchini Ujerumani na Tanzania.
PICHA NA ABUBAKARI AKIDA-WIZARA YA MAMBO YA NDANI
Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Teknolojia na Huduma za Ulinzi wa Umma wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo yaNdani ya Nchi, Mwamini Malemi (hayupopichani) wakati akifungua mkutano huo katika Hoteli ya Double Tree Jijini  Dar es Salaam.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (katikati) akifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika mkutano wa Teknolojia na Huduma za Ulinzi wa Umma unaofanyika katika Hoteli ya Double Tree Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Powered by Blogger.