LIVE STREAM ADS

Header Ads

THE LADY BOSS WA BINAGI MEDIA GROUP AWAANDALIA PARTY WADAU WENZAKE.

Hawa ni baadhi ya WADAU WA BINAGI MEDIA GROUP waliohudhuria Party iliyoandaliwa na Mdau mwenzao ambae anafahamika kwa jina la THE LADY BOSS. 

Kutoka Kushoto ni Paul a.k.a Mr.Pespi Kutoka Kampuni ya MyWay Entertainment, akifuatiwa na Madame Lolecia, anaefuata ni Lovelyson, akifuatiwa na Mwanaharakati Gervas, akifuatiwa na Agness, Anaefuata ni GB Pazzo, anafuata Elizayo HB na wa mwisho ni The Lady Boss Mwenye Beaty.

Party hiyo ilifanyikia nyumbani kwake Mecco Jijini Mwanza. Wadau wa BINAGI MEDIA GROUP ni kundi la WHATSUPP ambalo mbali ya kuwa wasomaji wa Mtandao huu, pia limelenga kusaidiana katika masuala mbalimbali yakiwemo ya Kiuchumi.
Picha na Wadau wa Binagi Media Group
Katikati ni Msanii Lovelyson akishow Love na Familia ya The Lady Boss Beaty (Kulia). Kushoto ni Shangazi wa Lady Boss.
The Lady Boss Beaty (Kulia) akiwa pamoja na GB Pazzo
GB Pazzo (Kushoto) akiwa pamoja na Msanii Elizayo HB
Wadau wa Binagi Media Group wakisosi
GB Pazzo (Kushoto) akiwa na Anko John (Kulia).
Binagi Media Group, Tumia Mitandao ya Kijamii kutengeneza Marafiki wapya kwa Maendeleo ya Jamii yako.

No comments:

Powered by Blogger.