LIVE STREAM ADS

Header Ads

PINDA AZINDUA MASHINDANO YA KITAIFA YA UMISSETA NA UMITASHUMITA MWAKA 2015 MKOANI MWANZA.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Mizengo Pinda akirusha juu Mpria wa Kikapu kama Ishara ya Ufunguzi wa Mashindano ya UMISSETA NA UMITASHUMITA kwa mwaka 2015 katika Uwanja wa CCM Kirumba Ilemela Mkoani Mwanza.
Pinda alizindua Mashindano hayo kwa niaba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Na:George GB Pazzo
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda (alienyosha Mkono) akiwasili katika Uwanja wa CCM Kirumba jana kwa ajili ya Uzinduzi wa Mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMITA ngazi ya Taifa yanayofanyika Mkoani Mwanza.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda (Kulia) akipuliza Kipyenga kama ishara ya Ufunguzi wa Mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMITA ngazi ya Taifa mwaka 2015 katika Uwanja wa CCM Kirumba jana.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akipiga mpira kama ishara ya Ufunguzi wa Mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMITA ngazi ya Taifa katika Uwanja wa CCM Kirumba Mkoani Mwanza.
"Hatimae Kitu kikaingia langoni"
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Mizengo Pinda akijiandaa kurusha juu Mpria wa Kikapu kama Ishara ya Ufunguzi wa Mashindano ya UMISSETA NA UMITASHUMITA kwa mwaka 2015 katika Uwanja wa CCM Kirumba Ilemela Mkoani Mwanza.
Pinda alizindua Mashindano hayo kwa niaba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Mizengo Pinda akirusha juu Mpria wa Kikapu kama Ishara ya Ufunguzi wa Mashindano ya UMISSETA NA UMITASHUMITA kwa mwaka 2015 katika Uwanja wa CCM Kirumba Ilemela Mkoani Mwanza.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Mizengo Pinda akizamisha Mpria wa Kikapu kama Ishara ya Ufunguzi wa Mashindano ya UMISSETA NA UMITASHUMITA kwa mwaka 2015 katika Uwanja wa CCM Kirumba Ilemela Mkoani Mwanza.
Waziri wa nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mh.Hawa Ghasia akirusha mpira wa Pete jana katika Uwanja wa CCM Kirumba kama ishara ya Ufunguzi wa Mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMITA ngazi ya Taifa mwaka 2015.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokea maelezo kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu TAMISE juu ya Mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMIKA ngazi ya Taifa mwaka 2015 yanayofanyika Mkoani Mwanza.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikagua timu
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikagua timu
Brass Band ikipita
Timu kutoka kanda ya Kati
Kanda ya Kaskazini Mashariki
Kanda ya Kusini
Kanda ya Ziwa
Kijana Dotto mwenye kipaji kikubwa cha uimbaji akitumbuiza
Burudani ilikuwa tamu sana
Wanafunzi

No comments:

Powered by Blogger.