LIVE STREAM ADS

Header Ads

WAFANYAKAZI WA RADIO METRO FM WAM-SUPRISE MENEJA WAO KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA.

MENEJA WA 99.4 RADIO METRO FM YA JIJINI MWANZA ALEX NGUSA (MWENYE ALAMA ZA KEKI USONI) AKIFURAHIA SIKU YAKE YA KUZALIWA HII LEO (ALIZALIWA JUNE 19 MIAKA KADHAA ILIYOPITA) PAMOJA NA BAADHI YA WAFANYAKAZI WA RADIO HIYO.
SHUGHULI NZIMA IMEFANYIKIA KATIKA STUDIO ZA RADIO METRO NA KURUKA MOJA KWA MOJA KATIKA KIPINDI CHA JAM SESSION IKIWA NI SUPRISE KUTOKA KWA WAFANYAKAZI WA RADIO METRO KWA MENEJA WAO.
KUPITIA UKURASA WAKE WA FACEBOOK, ALEX NGUSA AMEANDIKA UJUMBE UFUATAO; 
"Thanks a lot for your wishes. It's really joyful to have a wish from you. You are very special to me.
Thanks God for all your blessings and giving me all                                               these friends".
                                 Picha na Binagi Media Group
HAPPY BIRTH DAY MENEJA WA RADIO METRO ALEX NGUSA
Keki ikiwa katika Mazingira ya Kukwata ili Isosiwe
Meneja wa Radio Metro ya Jijini Mwanza Alex Ngusa akikata keki hii leo katika Studio za Radio hiyo ikiwa ni katika Kusherehekea Siku yake ya Kuzaliwa.
Meneja wa Radio Metro Fm Alex Ngusa (Kushoto) Akimlisha keki Mkuu wa Vipindi Radio Metro Alphonce Tonny Kapela (Kulia).
Meneja wa Radio Metro Fm Alex Ngusa (Kushoto) Akimlisha keki Mtangazaji wa Radio Metro Sefroza Joseph (Kulia).
Meneja wa Radio Metro Fm Alex Ngusa (Kulia) Akimlisha keki Mtangazaji/ Mwandishi wa Radio Metro GB Pazzo (Mwenye Kofia).
Meneja wa Radio Metro Fm Alex Ngusa (Kulia) Akimlisha keki mtangazaji wa Radio Metro Jay Joh.
Meneja wa Radio Metro Fm Alex Ngusa (Kulia) Akimlisha keki Mtangazaji wa Radio Metro Alex Gwido.
Meneja wa Radio Metro Fm Alex Ngusa (Kulia) Akimlisha keki Mtangazaji wa Radio Metro Sophia George.
Meneja wa Radio Metro Fm Alex Ngusa (Kulia) Akimlisha keki mhasibu wa Radio Metro Julieth Marcus.
Meneja wa Radio Metro Fm Alex Ngusa (Kushoto) Akimlisha keki mtangazaji wa Radio Metro Frank Joackim
Meneja wa Radio Metro Fm Alex Ngusa (Kushoto) Akimlisha keki Mkuu wa Kitengo cha Usafi Maria Domis.
Mkuu wa Kitengo cha Usafi Radio Metro Maria Domis (Kushoto) akimlisha Keki Meneja wa Radio Metro Fm Alex Ngusa (Kulia) kwa niaba ya wafanyakazi wengine.
Mkuu wa Vipindi Radio Metro Alphonce Tonny Kapela (kulia) akiwa pamoja na Mtangazaji wa Radio hiyo Sefroza Joseph (Kulia).
Mkuu wa Vipindi Radio Metro Alphonce Tonny Kapela (kulia) akiwa pamoja na Mtangazaji wa Radio hiyo Sefroza Joseph (Kulia). Hapa akitoa pongezi zake.
Kutoka Kushoto ni Frank Joackim, GB Pazzo, Sophia George, Alex Ngusa pamoja na Alex Gwido.
HAPPY BORN DAY MENEJA WA RADIO METRO ALEX NGUSA (Wa pili kushoto).
TEAM METRO FM WAKIFURAHIA PAMOJA NA MENEJA WAO HII LEO.
BINAGI MEDIA GROUP, INAMPONGEZA MENEJA WA METRO FM KATIKA KUADHIMISHA SIKU YAKE YA KUZALIWA HII JUNE 19 MIAKA KADHAA ILIYOPITA.

No comments:

Powered by Blogger.