LIVE STREAM ADS

Header Ads

HAPPY BIRTH DAY MDAU WA BINAGI MEDIA GROUP TEAM FIGHTERS.

Anaitwa Agness Emmanuel ambae ni Mmoja wa Wadau wa Binagi Media Group-Team Fighters akiwa pia ni mfanyakazi wa Airtel katika Ofisi ndogo iliyopo Nyegezi Jijini Mwanza.Julai Sita miaka kadhaa iliyopita aliweza kuzaliwa hivyo leo anasherehekea Siku yake ya Kuzaliwa.

"Ahsante Mungu kwa Wema wako na uweza wako ambao unazidi kuniangazia hadi nimefika hapa nilipo hii leo, Nasema Amen...lakini pia nawashukuru sana wazazi wangu Baba na Mama kwa Malezi yao bora waliyonipatia bila kuwasahau ndugu, jamaa na marafiki. Anasema Agness Emmanuel.
Binagi Media Group, Inakutakia Happy Birth Day Mdau Wetu, Mola Akujaalie Maisha Mema ili Kwa Pamoja Tuliendeleze Libeneke.
Tunaisubiria Party Kwa hamu kubwa.

No comments:

Powered by Blogger.