MSANII MR.MENGI AKIWA KATIKA UBORA WAKE UTAMKUBALI. MSIKILIZE HAPA KUPITIA BINAGI RADIO.
Msanii Mr.Mengi Kutoka Mkoani Mwanza
Anaitwa Mengi Rukonge au Mr.Mengi kwa jina la kisanii. Ni miongoni mwa wasanii Chipukizi Kutoka Mkoani Mwanza. Anatamba hivi sasa na ngoma zake mbili, ya Kwanza inaitwa UMEONDOKA akiwa amewashirikika Wasanii Siha pamoja na Mpita Njia na ngoma ya pili inaitwa NAKUJALI akiwa amemshirikisha Msanii C-Sir Madini."Hakika Mimi nikiwa katika Ubora wangu utanikubali. Huwa niko makini na kazi yangu ya Muziki na ndiyo maana nasema ipo siku Watanzania watanielewa vizuri maana naoma ujio wangu umepokelewa vyema". Mr.Mengi ameiambia Binagi Radio ya Binagi Media Group.
Bonyeza Hapo Chini ili Kumsikiliza Mr.Mengi Katika Ubora wake.
Mr.Mengi ft.C-Sir Madini-Nakujali Mr.Mengi ft.Siha & Mpita Njia-Umeondoka BINAGI MEDIA GROUP PRODUCTIONS
No comments: