LIVE STREAM ADS

Header Ads

MWENYEKITI UVCCM WILAYA YA NYAMAGANA HAKAMATIKI MBUGA MBIO ZA UDIWANI.

Baadhi ya Wanachama na Makada wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Nyamagana wakifurahi kwa pamoja na Hussein Kim (Mwenye Kofia ya CCM Katikati) ambae ni Miongoni mwa watia nia ya Kugombea Udiwani. 

Hii ilikuwa jana baada ya zoezi la Watia nia katika nafasi ya Ubunge Jimbo la Nyamagana na nafasi ya Udiwani Kata ya Mbugani na Mabatini kumaliza kujinadi kwa wanachama kwa ajili ya kuomba ridhaa ya kupitishwa na Chama cha mapinduzi CCM ili waweze kugombea katika uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu.

Kim ambae pia ni Mwenyeki wa UVCCM Wilaya ya Nyamagana amezidi kuchanja mbuga katika mbio zake za kuwania Udiwani katika Kata ya Mbugani Jijini Mwanza (CCM) ambapo ushawishi wake umekuwa mkubwa ukilinganisha na watia nia wengine katika Kata hiyo.
Na:Binagi Media Group
Baadhi ya Wanachama na Makada wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Nyamagana wakifurahi kwa pamoja na Hussein Kim (Mwenye Kofia ya CCM Katikati) ambae ni Miongoni mwa watia nia ya Kugombea Udiwani Kata ya Mbugani Jijini Mwanza kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi.
Baadhi ya Wanachama na Makada wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Nyamagana wakifurahi kwa pamoja na Hussein Kim (Mwenye Kofia ya CCM Katikati) ambae ni Miongoni mwa watia nia ya Kugombea Udiwani. 

Kim ambae pia ni Mwenyeki wa UVCCM Wilaya ya Nyamagana amezidi kuchanja mbuga katika mbio zake za kuwania Udiwani katika Kata ya Mbugani Jijini Mwanza (CCM) ambapo ushawishi wake umekuwa mkubwa ukilinganisha na watia nia wengine katika Kata hiyo.

No comments:

Powered by Blogger.