LIVE STREAM ADS

Header Ads

PICHA ZA BIRTH DAY PARTY YA VIDEO QUEEN AGNESS EMMANUEL ZIKO HAPA.

Anaitwa Agness Emmanuel (Kulia) ambae ni Mmoja wa Wadau wa Binagi Media Group-Team Fighters ambae pia ni Video Queen katika Video ya Elizayo HB-Waiting For You, Mjasiriamali na mfanyakazi wa Airtel katika Ofisi ndogo iliyopo Nyegezi Jijini Mwanza.

Julai Sita miaka kadhaa iliyopita aliweza kuzaliwa hivyo party yake ilikuwa jana Julai Saba katika Ukumbi wa Min Pub uliopo Ilemela Jijini Mwanza. Kushoto ni Madam Loly na Katikati ni Msanii Elizayo HB,wote ni wanagroup.
Mwanagroup Ayub akilishwa Keki na Mtoto Agness (Kulia).
Mhhhhhh Mtoto Agness (Kushoto) akimlisha Keki GB Pazzo (Kulia)...Kwa mbaaaali nyuma namuona Mwanaharakati Gervas.
Mtoto Agness (Kushoto) akimlisha the msosi GB Pazzo (Kulia)
Burudani kidogo maana Mtoto Agness pia ni Video Queen 
Wanafamilia
Mjikeki
"Ahsante Mungu kwa Wema wako na uweza wako ambao unazidi kuniangazia hadi nimefika hapa nilipo hii leo, Nasema Amen...lakini pia nawashukuru sana wazazi wangu Baba na Mama kwa Malezi yao bora waliyonipatia bila kuwasahau ndugu, jamaa na marafiki. Alisema Agness Emmanuel.

Binagi Media Group, Inakutakia Maisha marefu na yenye fanaka Mdau Wetu, Mola Akujaalie Maisha Mema ili Kwa Pamoja Tuliendeleze Libeneke.
Bonyeza HAPA KUONA ZAIDI

No comments:

Powered by Blogger.