LIVE STREAM ADS

Header Ads

SIKILIZA MAHOJIANO NA CHARLES MAGALI ALIPOKUWA WASHNGTON NCHINI MAREKANI.

Charles Magali akiwa ndani ya Kilimanjaro Studio, zinazomilikiwa na Vijimambo Radio, Kwanza Production na NesiWangu Media.
Ijumaa ya Julai 24, 2015, mwigizaji na mwimbaji wa muziki nchini Tanzania Charles Magali alipata fursa ya kutembelea studio zetu zilizopo Beltsville Maryland. 

Hapo akazungumza nasi kwa ufupi,
Karibu umsikilize akihojiwa na Mbunifu na Mtayarishaji wa kipindi hiki Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio.

No comments:

Powered by Blogger.