LIVE STREAM ADS

Header Ads

TAZAMA PROMO YA KIPINDI KIPYA CHA TV KIITWACHO THE MEETING.

Binagi Media Group Kupitia Binagi Tv na Washirika wake, inakuletea Kipindi Kipya Kabisa kiitwacho THE MEETING na kama ulivyojionea hivi karibuni behinde the Scene Promo ya Kipindi hicho ikitengenezwa, Habari njema ni kwamba, kipindi hicho kiko mbioni kuanza kukufikia popote pale ulipo duniani kote.

Hii hapa ndiyo Promo yenyewe ya THE MEETING so Bonyeza Play Kuitazama kisha Share na wenzako pia. Kama hukubahatika kuona Promo hiyo ilivyokuwa ikitengenezwa, Bonyeza HAPA ili kujionea.

Special Thanx to "The Meeting Tv Show Team";
Hosts Iman Hezron & George GB Pazzo, Excutive Director Ibrahim Ally a.k.a Ibrada Bizzy, Director Of Photography Sadam Salum, Photographers Abbas Idd a.k.a Mtoro, Robert Kasamwa, Barmedas tv Crew, Winnie Chumi, Antony Magige @Rock Beach Gaden, Life Secrets Company and All Bright Production.

STAY CONECTED WITH BINAGI MEDIA GROUP, THE MEETING IS COMING SOON.
LOADING...LOADING...LOADING
Powered by Blogger.