LIVE STREAM ADS

Header Ads

USAHILI WA SHINDANO LA KWETU HOUSE JIJINI MWANZA KUFANYIKA KESHO.

Mwanza Tumefika ....Ni zamu ya Mwanza kwa Shabiki wa Kweli wa Soka kuonyesha Kipaji chake kupitia Kwetu House Msimu wa Pili. usahili utafanyika ndani ya Ukumbi wa Mandela Ndani ya Hotel ya GOLD CREST iliyopo Jijini Mwanza. 
Na:Wambura Babu Blog 
 Prodyuza wa Kwetu house Joseph Mtatiro akizungumza na wadau wa jiji la mwanza kupitia Jembe Fm katikati jiji la mwanza kuwafahamisha wadau wa mwanza waweze kujitokeza kushiriki Shindano hilo la KWETU HOUSE msimu wa pili
KWETU HOUSE CREW

No comments:

Powered by Blogger.