LIVE STREAM ADS

Header Ads

WADAU WA BINAGI MEDIA GROUP WAENDELEA KUIMARISHA UMOJA WAO.

Kutoka Kushoto ni John Mtatiro a.k.a Anko John, Katikati ni Mhasibu Agness Emmanuel na Kulia ni Msanii Elizayo HB ambao ni baadhi ya Wadau wa Binagi Media Group ambao hii leo Julai 04, 2015 wamekutana pande za TAI FIVE HOTEL Jijini Mwanza kwa ajili ya kikao chao cha kila mwezi.
Binagi Media Group
Vikao vya kila Mwezi vya Wadau hao vimelenga kuzungumza masuala mbalimbali ya Kundi pamoja na kukusanya michango ya Kila mwezi ambapo pesa inayopatikana hukopeshwa kwa wanachama. Kwa ujumla Kundi hilo limelenga kushirikiana katika masuala mbalimbali katika shida na raha.
HAKIKA NI FURAHA YA WANA BINAGI MEDIA GROUP KUONA KWAMBA KUNDI LAO LINAZIDI KUIMARIKA SIKU HADI SIKU.
Kutoka kushoto ni Rosier, katikati ni Mhandisi Jose na Kulia ni Ayub, hawa ni Wana Binagi Media Group
Kutoka Kushoto ni Mhandisi Jose, anaefuata ni Rosier, akifuatiwa na Msanii Elizayo na wa mwisho ni Mwalimu Loly. Hawa ni baadhi ya Wadau wa Binagi Media Group
Wadau wa Binagi Media Group ambapo Kushoto ni Mwl.Loly na Kulia ni Anko John.
Mwalimu Loly (Kushoto) akiwa na GB Pazzo (Kulia) ambae ni C.E.O wa Binagi Media Group 
Wa kwanza kushoto ni GB Pazzo ambae ni C.E.O wa Binagi Media Group , katikati ni Mwl.Jullie na kushoto ni Anko John.
HAKIKA NI FURAHA YA WANA BINAGI MEDIA GROUP KUONA KWAMBA KUNDI LAO LINAZIDI KUIMARIKA SIKU HADI SIKU.

No comments:

Powered by Blogger.