LIVE STREAM ADS

Header Ads

BINAGI TV: VIDEO MPYA YA MSANII ELIZAYO HB-NAFURAHI KUWA NAWE NI NOMA.

Baada ya Msanii anaetesa kwa sasa Elizayo HB kutoka Jijini Mwanza kufanya Uzinduzi wa Video yake Mpya iitwayo Nafurahi Kuwa Nawe jumapili ya Agost 16 Rock Bottom Club Gold Crest Hotel, Binagi Media Group kupitia Binagi Tv inakushushia Video hiyo ukiwa bado wa mooooooto. Ni bonge la Video. Enjoy!
Bonyeza Play Hapa Chini Kutazama
BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII

No comments:

Powered by Blogger.