LIVE STREAM ADS

Header Ads

HUYU NDIYE KINARA ANAEUTESA MOYO WA MSANII LAU WA JOHN KUTOKA ROCK CITY MWANZA.

Lau wa John (Kushoto) akiwa na Kinara wake
Binagi Media Group
Msanii Lau wa John kutoka Rock City Mwanza ambae anatamba na Wimbo uitwao "Bado Niko Nae" aliomshirikisha Mo-Music amesema kuwa mashabiki zake wakae tayari kwani hivi karibuni watamuona anaeutesa moyo wake.

Wengi wamekuwa na Maswali mengi juu ya kauli hiyo wakitaka kujua maneno ya Lau wa John yana maana gani huku wengine wakihisi kuwa kauli hiyo imenuwia kuwakeka tayari kwa ajili ya ujio wa Video ya Wimbo huo.


"Huyu ndie Kinara wangu anaeutesa moyo wangu.Video Queen wa mimi soon utaiona video yangu.Utaona Kinara alicho kifanya soon tu". Amesema Lau wa John.

No comments:

Powered by Blogger.