LIVE STREAM ADS

Header Ads

MSANII ELIZAYO HB KUTOKA JIJINI MWANZA AZUNGUMZA NA BINAGI RADIO BAADA YA PICHA ZAKE ZA MAHABA AKIWA NA VIDEO QUEEN WAKE KUSAMBAA MTANDAONI.

Baada ya Picha za Mahabati za Msanii Elizayo HB kunaswa akiwa na Video Queen Wake, Kwa mara ya Kwanza Msanii huyo amezungumza na Binagi Radio na Kueleza zaidi juu ya Undani wa Picha hizo na namna zilivyosambaa huku pia akiweka wazi uhusiano wake na Video Queen huyo ambae nae pia amezungumzia picha hizo kupitia Binagi Radio ambapo ameeleza zaidi ukweli wa mambo jinsi ulivyo. Karibu sana ili uweze kusikiliza mahojiano hayo.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI ILI KUSIKILIZA  KAMA HUKUONA PICHA HIZO BONYEZA HAPA

No comments:

Powered by Blogger.