LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAONYESHO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI NANENANE 2015 KANDA YA ZIWA YAZIDI KUPAMBA MOTO.

Hii ni timu ya Masoko na Mauzo kutoka Kampuni ya Ufuaji Umeme wa Jua ya M~POWER ikiwa katika Maonyesho ya Wakulima na Wafugaji maarufu kwa jina la Nanenane ambayo yameendelea kuvutia tangu yalipoanza Jumamosi iliyopita ya Agosti Mosi katika Viwanja vya Nyamhongolo Jijini Mwanza yakishirikisha Mikoa yote ya Kanda ya Ziwa.
Na:George GB Pazzo
Kamera ya Binagi Media Group imenasa picha 22 na kukufikishia hapo ulipo ili upande fursa ya kujionea kinachoendelea katika Maonyesho hayo.
Timu ya Mauzo na Masoko kutoka Kampuni ya M~Power inayotoa huduma ya Umeme wa Jua.
M~Power Dadaz Wanakukaribisha katika Maonyesho ya Nanenane Jijini Mwanza.
Wananchi wakiendelea kupata ufafanuzi wa Huduma za M~Power katika Maonyesho ya Nanenane Nyamhongolo Jijini Mwanza.
Wananchi wakiendelea kupata ufafanuzi wa Huduma za M~Power katika Maonyesho ya Nanenane Nyamhongolo Jijini Mwanza.
Kampuni ya Uuzaji wa Ving'amuzi ya StarTimes pia inashiriki Maonyesho ya Nanenane Jijini Mwanza na Kuna Ofa zinatolewa katika banda lake hivyo hakikisha unafika katika Banda la StarTimes.
Hakikisha unafika katika Banda la StarTimes katika Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Nyamhongolo Jijini Mwanza ili kujipatia Ofa yako.
Mfuko wa GEPF pia upo kwa ajili yako katika Maonyesho ya Nanenane Jijini Mwanza hivyo fanya hima kufika katika banda la GEPF. 
Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA nao wapo na wana mambo mengi mazuri na hakikisha unatembelea banda hili.
Benki Kuu ya Tanzania pia imeshiriki katika Maonyesho ya Nanenane na kuna elimu nzuri sana inatolewa kwa wananchi katika banda hili.
Mashirika la KIVULINI pamoja na MIKONO YETU pia yameshiriki vyema katika Maonyesho ya Nanenane Jijini Mwanza.
Cocacola wanahakikisha hupati kiu katika Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Nyamhongolo Jijini Mwanza.
Kampuni ya Uuzaji Mitambo ya Umeme wa Jua ya MOBISOL nayo inashiriki katika Maonyesho ya Nanenane katika Viwanja vya Nyamhongolo Jijini Mwanza hivyo hakikisha unafika katika banda la Kampuni hii ili uweze kufurahia ofa zake.
Wananchi wakihudumiwa katika banda la Mobisol
Wananchi wakihudumiwa katika banda la Mobisol
Kampuni ya Simu Tanzania TTCL nayo pia inashiriki katika Maonyesho ya Nanenane 2015 katika Viwanja vya Nyamhongolo Jijini Mwanza.
Kampuni ya Simu za Mkononi ya AIRTEL nayo inashiriki katika Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Nyamhongolo Jijini Mwanza na wananchi wanafika hapo ili kujipatia huduma zake.
Kampuni ya Simu za Mkononi ya AIRTEL nayo inashiriki katika Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Nyamhongolo Jijini Mwanza na wananchi wanafika hapo ili kujipatia huduma zake.
Shamba darasa juu ya ufugaji wa Mbuzi katika Maonyesho ya Wakulima na Wafugaji Nanenane Jijini Mwanza.
Shamba darasa juu ya kilimo bora katika Maonyesho ya Wakulima na Wafugaji Nanenane Jijini Mwanza.
Zana za Kilimo katika Maonyesho ya Nanenane Jijini Mwanza.
Ahsante kwa kutembelea Binagi Media Group...Kusoma Habari zaidi Bonyeza HAPA

No comments:

Powered by Blogger.