LIVE STREAM ADS

Header Ads

RPC MWANZA AFUNGA MAFUNZO YA POLISI JAMII KWA MACHINGA WA MASOKO NA MINADA JIJINI MWANZA.

Viongozi Mbalimbali wa Polisi Mkoa wa Mwanza akiwemo Kamanda wa Polisi Mkoani Mwanza, Kamishina Msaidizi wa Polisi Charles Mkumbo (Wa Kwanza Kulia) wakiwa katika Sherehe za Kufunga Mafunzo ya Polisi Jamii yaliyotolewa kwa Wanachama wa Jumuiya ya Wafanyabiashara ndogondogo (Machinga) katika Masoko na Minada kwa Wilaya za Nyamagana na Ilemela yaliyolenga kuimarisha Ulinzi na Usalama katika maeneo yao ya kibiashara.

Jumla ya wanachama 36 (Me 34 na Ke 2) kati ya 50 walioanza Mafunzo hayo mwezi wa pili mwaka huu wamefuzu mafunzo hayo na kilele chake kilifanyika jana katika Uwanja wa Magomeni Kirumba Wilayani Ilemela.
Na:George GB Pazzo
Wa kwanza kulia ni Justine Sagara ambae ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara ndogondogo (Machinga) katika Masoko na Minada kwa Wilaya za Nyamagana na Ilemela akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa jeshi la polisi katika kilele cha mafunzo ya polisi jamii yaliyotolewa kwa wanachama wa jumuiya hiyo kwa lengo la kuimarisha Ulinzi na Usalama katika maeneo yao ya kibiashara.
Wa kwanza Kulia ni Mkufunzi wa Mafunzo ya Polisi Jamii Mkoa wa Mwanza, Sajenti wa Polisi Mkoani Mwanza Clement Kabatila  akiwa pamoja na viongozi wengine wa Jumuiya ya Wafanyabiashara ndogondogo katika Masoko na Minada kwa Wilaya za Ilemela na Nyamagana katika Kilele cha Mafunzo ya Polisi Jamii yaliyotolewa kwa wanachama wa Jumuiya hiyo.
Justine Sagara (Mwenye kinasa sauti) ambae ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara ndogondogo (Machinga) katika Masoko na Minada kwa Wilaya za Nyamagana na Ilemela akizungumza katika kilele cha mafunzo ya polisi jamii yaliyotolewa kwa wanachama wa jumuiya hiyo kwa lengo la kuimarisha Ulinzi na Usalama katika maeneo yao ya kibiashara.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Magomeni Kata ya Kirumba (Mwenye Kinasa Sauti) akizungumza katika kilele cha mafunzo ya polisi jamii yaliyotolewa kwa wanachama wa jumuiya ya Wafanyabiashara ndogondogo katika Masoko na Minada kwa Wilaya za Ilemela na Nyamagana yenye lengo la kuimarisha Ulinzi na Usalama katika maeneo yao ya kibiashara.
Mkuu wa Kituo cha Polisi Kirumba Wilayani Ilemela (Mwenye Kinasa Sauti) akizungumza jana katika kilele cha mafunzo ya polisi jamii yaliyotolewa kwa wanachama wa jumuiya ya Wafanyabiashara ndogondogo katika Masoko na Minada kwa Wilaya za Ilemela na Nyamagana yenye lengo la kuimarisha Ulinzi na Usalama katika maeneo yao ya kibiashara.
Kulia ni Edward Chiwanga akiwa pamoja na Ruter Gwanano (Kushoto) akisoma Risala kwa niaba ya wahitimu wa mafunzo ya Polisi Jamii
Wahitimu wa Mafunzo ya Polisi Jamii kutoka Jumuiya ya Wafanyabiashara ndogondogo katika Masoko na Minada kwa Wilaya za Ilemela na Nyamagana wakiwa katika gwaride
Wahitimu wa Mafunzo ya Polisi Jamii kutoka Jumuiya ya Wafanyabiashara ndogondogo katika Masoko na Minada kwa Wilaya za Ilemela na Nyamagana wakionyesha mbinu mbalimbali za kupambana na adui
Wahitimu wa Mafunzo ya Polisi Jamii kutoka Jumuiya ya Wafanyabiashara ndogondogo katika Masoko na Minada kwa Wilaya za Ilemela na Nyamagana wakionyesha mbinu mbalimbali za kukabiriana na adui
Wahitimu wa Mafunzo ya Polisi Jamii kutoka Jumuiya ya Wafanyabiashara ndogondogo katika Masoko na Minada kwa Wilaya za Ilemela na Nyamagana wakionyesha mbinu mbalimbali za kukabiriana na adui
Wahitimu wa Mafunzo ya Polisi Jamii kutoka Jumuiya ya Wafanyabiashara ndogondogo katika Masoko na Minada kwa Wilaya za Ilemela na Nyamagana wakiwa katika gwaride
Wahitimu wa Mafunzo ya Polisi Jamii kutoka Jumuiya ya Wafanyabiashara ndogondogo katika Masoko na Minada kwa Wilaya za Ilemela na Nyamagana wakiwa katika gwaride
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamishina Msaidizi wa Polisi Charles Mkumbo akikagua gwaride la Wahitimu wa Mafunzo ya Polisi Jamii kutoka Jumuiya ya Wafanyabiashara ndogondogo katika Masoko na Minada kwa Wilaya za Ilemela na Nyamagana.

Wahitimu wa Mafunzo ya Polisi Jamii kutoka Jumuiya ya Wafanyabiashara ndogondogo katika Masoko na Minada kwa Wilaya za Ilemela na Nyamagana.
Wahitimu wa Mafunzo ya Polisi Jamii kutoka Jumuiya ya Wafanyabiashara ndogondogo katika Masoko na Minada kwa Wilaya za Ilemela na Nyamagana.
Wanahabari katika Ubora wao
Wahitimu wa Mafunzo hayo ya Polisi Jamii kutoka kutoka Jumuiya ya Wafanyabiashara ndogondogo katika Masoko na Minada kwa Wilaya za Ilemela na Nyamagana walitakiwa kutekeleza majukumu yao ya ulinzi na usalama katika maeneo yao ya kibiashara kwa kuzingatia nidhani, utii na sheria bila uonevu wa aina yoyote.
Soma Habari Kamili HAPA

No comments:

Powered by Blogger.