LIVE STREAM ADS

Header Ads

SASA NI ZAMU YA DELAY DADY KUWAPAGAISHA WAPENZI WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA.

Anaitwa DELAY DADY kutoka Ukerewe Mkoani Mwanza ambae ni Msanii Chipukizi ambae kwa sasa ana ngoma moja mkononi iitwayo NALIA. Ngoma hii imetengenezewa katika Studio za E-Production, Producer akiwa ni Marijan.

Binagi Media Group, tunasema sasa ni zamu ya DELAY DADY kuwapagawashisha wapenzi wa Muziki wa Kizazi kipya hapa bongotz kupitia ngoma yake hii iitwayo Nalia. ENJOY.

Bonyeza Play Hapa chini kusikiliza          BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII.

No comments:

Powered by Blogger.