LIVE STREAM ADS

Header Ads

TAASISI YA MISA TANZANIA KWA KUSHIRIKIANA NA CIPESA UGANDA YAWAPIGA MSASA WANAHABARI.

Wanahabari kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari Kanda ya Ziwa wakiwa katika Semna iliyolenga kutoa mafunzo juu yao juu ya namna ya kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika nchini Agosti 25 mwaka huu.
Semna hiyo imeandaliwa na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini Mwa Tanzania-MISATAN kwa kushirikiana na Taasisi ya CIPESA ya nchini Uganda na imeanza hii leo Agost 10, 2015 Jijini Mwanza katika Ukumbi uliopo New Mwanza Hotel na inatarajiwa kutamatishwa kesho Agost 11, 2015.
Na:George GB Pazzo
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media inayomiliki Mitandao ya Jamii Forums pamoja na Fikra Pevu, Maxence Melo akiwasilisha Mada juu ya Uharifu wa Mitandaoni na Sheria za Takwimu.
Wanahabari kutoka Vyombo mbalimbali Kanda ya Ziwa Wakifuatilia Kwa Makini Semna juu ya namna ya Kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Mwezi Octoba nchini.

Wakufunzi ambapo kushoto ni James Marenga ambae ni Wakili na Mwandishi wa Habari wa siku nyingi nchini akiwa pamoja na Sengiyumva Gasirigwa (Kulia) ambae ni Afisa Utafiti na Mawasiliano kutoka MISATAN
Mkurugenzi wa Taasisi ya CIPESA kutoka nchini Uganda ambayo ilisaidia katika kufanikisha semina hiyo.
Lunchi time
Lunch time
Mazungumzo yakiendelea wakati wa Lunch Time
Lunch Time
Wanahabari wakiendelea kupata msosi
Ni muda wa Msosi
Wanahabari wakipata chakula wakati wa semna ya kuwajengea uwezo katika Kuandika habari za Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika mwezi octoba hapa nchini.

Katika Semna hiyo Wanahabari wameaswa kuandika habari sahihi katika kipindi cha kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu hapa nchini. Lakini pia wamehimizwa kutoripoti habari za Uchaguzi kwa kuongozwa na mapenzi yao binafsi. Hata hivyo wamesisitizwa kuvaa nguo maalumu za Waandishi (Zenye Nembo ya PRESS) wakati wa Mikutano ya Kampeni za Kisiasa nchini.

No comments:

Powered by Blogger.