LIVE STREAM ADS

Header Ads

ESTHER MATIKO AZIDI KUKUBALIKA KATIKA JIMBO LA TARIME MJINI.

Mgombea Ubunge katika Jimbo la Tarime Mjini Mkoani Mara kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Esther Nicolaus Matiko akiwahutubia wakazi wa Jimbo hilo.
Picha na Peter Magwi Michael
Wakazi wa Jimbo la Tarime Mjini wakifuatilia Mkutano wa Mgombea Ubunge wa Chadema Esther Nicolaus Matiko
Wakazi wa Jimbo la Tarime Mjini wakinyoosha mkono juu kama ishara ya kumuunga mkono Mgombea Ubunge wa Chadema Esther Nicolaus Matiko katika jimbo hilo
Bonyeza HAPA Kuona Picha Zaidi
BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII

No comments:

Powered by Blogger.