LIVE STREAM ADS

Header Ads

LIGI SOKA YA MITAA KATIKA KIJIJI CHA KENYAMANYORI WILAYANI TARIME YAPAMBANA MOTO.

Kikosi cha Timu ya Soka ya Mtaa wa Chira, Kata ya Kenyamanyori kilichopo Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara. Kikosi hiki kinashiriki ligi ya soka ya Mitaa ya Kijiji cha Kenyamanyori mwaka 2015.
Na:Binagi Media Group
Mechi ya Kwanza timu hii ya Chira ilicheza na Timu kutoka Mtaa wa Nyamitembe na kutoka sare ya bao 3-3 na katika mechi ya marudiano iliyochezwa jana Chira ikakubali kichapo cha bao 2-0 kutoka Nyamitembe.

Leo kuna Mechi kali kati ya Kikosi cha Mtaa wa Makao na Mtaa wa Ronga katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kenyamanyori.
Kikosi cha Timu ya Soka ya Nyamitembe
Mechi kati ya Chira na Nyamitembe iliyochezwa jana na Chira kutundikwa bao 2-0
Mechi kati ya Chira na Nyamitembe iliyochezwa jana na Chilla kutundikwa bao 2-0
Mechi kati ya Chira na Nyamitembe iliyochezwa jana na Chilla kutundikwa bao 2-0
Makamisaa wa Mchezo

No comments:

Powered by Blogger.