LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MANUNUZI YA UMMA KWA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Kongamano la Manunuzi ya Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, lililofunguliwa jana Septemba 2, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha. 
Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Kongamano la Manunuzi ya Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, lililofunguliwa leo Sept 2, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kuhusu kadi mpya ya Selcom ya kufanyia huduma ya manunuzi na malipo mbalimbali kutoka kwa Meneja wa Mradi wa Kampuni ya Selcom Tanzania, Gallus Runyeta, wakati Makamu alipokuwa akitembelea Mabanda ya maonesho baada ya kufungua Kongamano la Manunuzi ya Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, lililofunguliwa leo Sept 2, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha. Kadi hiyo inatarajia kuzinduliwa rasmi mwezi Oktoba mwaka huu. Katikati ni Meneja Mawasiliano wa Selcom, Sabrina Munir.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kuhusu hudua za SSRA kutoka Afisa Mawasiliano wa SSRA, Sarah Kibonde,  wakati Makamu alipokuwa akitembelea Mabanda ya maonesho baada ya kufungua Kongamano la Manunuzi ya Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, lililofunguliwa leo Sept 2, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kuhusu hudua za Max Malipo kutoka kwa Samwel Nzunda, wakati Makamu alipokuwa akitembelea Mabanda ya maonesho baada ya kufungua Kongamano la Manunuzi ya Umma kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, lililofunguliwa leo Sept 2, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha.
Picha za pamoja baada ya ufunguzi wa kongamano hilo
Picha za pamoja baada ya ufunguzi wa kongamano hilo
Picha za pamoja baada ya ufunguzi wa kongamano hilo
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Bilal. 
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Bilal. 
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Bilal. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya viongozi, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo, baada ya uzinduzi wa Kongamano hilo.

No comments:

Powered by Blogger.