LIVE STREAM ADS

Header Ads

BINAGI RADIO: SIKILIZA WALICHOKIZUNGUMZA VIJANA WA UKAWA WALIOANDAMANA JIJINI MWANZA.

Binagi Media Group kupitia Binagi Radio inakujuza Kile walichokizungumza Vijana walioandamana jana Jijini Mwanza kwa madai ya Kuunga mkono hotuba ya aliekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Dkt.Wilbroad Slaa.

Dkt. Slaa alitangaza kuachana na siasa baada ya kutoelewana na Viongozi wenzake juu ya suala la Mgombea urais wa Chadema kupitia Ukawa.
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA  Bonyeza HAPA KUTAZAMA PICHA

No comments:

Powered by Blogger.