MAMIZ GRAND RESORT JIJINI MWANZA WANAKULETEA UZINDUZI WA WIMBO MPYA WA CHRISTIAN BELLA.
Rock City Mwanza Mwanza Niajeeeeee….
Umeisikia
Hiii!!!!!!!
Ofcourse ni Uzinduzi wa Wimbo Mpya wa Amerudi
ndani ya Jiji la Mwanza ambapo kundi zima la Malaika Band chini yake The King
of Best Melody Christian Bella litadondosha bonge moja la Show katika Ukumbi wa
Mamiz Grand Resort iliyopo Mkolani.
Kumbuka ni Siku ya Jumamosi ya Tarehe 12.09.2015
kwa Kiingilio cha Shilingi Elfu Kumi
(10,000) ambapo uzinduzi huo utaambatana na Nyama Choma, Maakuli ya Kila aina pamoja
na vinywaji kedekede.
Unakosaje sasa!
Inaletwa Kwenu na Mamiz Grand Resort.
No comments: