LIVE STREAM ADS

Header Ads

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ILEMELA CHADEMA HIGHNESS KIWIA AZINDUA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO.

Wakazi wa Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza waliojitokeza jana katika Uwanja wa Magomeni Kata ya Kirumba katika Uzinduzi rasmi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kwa Ushirikiano na Vyama Vinavyounda Umoja Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa.
Na:George GB Pazzo
Mgombea Ubunge Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Highness Kiwia amewataka Wakazi wa Jimbo hilo kuwachagua viongozi bora watakaowajibika kwa ajili ya maendeleo yao badala ya kuwachagua viongozi wanaoeleza sera zisizotekelezeka.

Kiwia ambae alikuwa mbunge wa jimbo hilo awamu iliyopita aliyasema hayo jana katika Uzinduzi rasmi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu jimboni humo uliofanyika katika Uwanja wa Magomeni Kata ya Kirumba.

Alisema kuwa katika uongozi wake uliopita alifanya kazi ya kutatua kero na matatizo ya wananchi na siyo kutafuta sifa bungeni hatua iliyosaidia kuibadilisha Ilemela kimaendeleo katika sekta za Afya, Maji pamoja na elimu.

Kiwia aliomba ridhaa ya kuchaguliwa kwa awamu ya pili kuwa mbunge wa jimbo hilo ambapo ameahidi kushughulikia kero ya ubovu miundombinu ya barabara jimboni humo ikiwa atapata ridhaa hiyo.
Mgombea Ubunge Jimbo la Ilemela Highness Kiwia
Mgombea Ubunge Jimbo la Ilemela Highness Kiwia
Mgombea Ubunge Jimbo la Ilemela Highness Kiwia akimtambulisha Mke wake kwa wapiga kura jimboni Ilemela
Mke wa Mgombea Ubunge Jimbo la Ilemela Highness Kiwia akiwaombea wagombea kura
Wagombea Udiwani wakiomba Kura kwa Wakazi wa Jimbo la Ilemela

Viongozi wa Ukawa Wilaya ya Ilemela
Viongozi wa Ukawa Wilaya ya Ilemela
Mwenyekiti wa Chadema Ilemela akiwaombea kura wagombea kwa wakazi wa Jimbo la Ilemela
Meneja Kampeni wa Chadema Jimbo la Ilemela Hassan Haji Sadick akiwaombea kura wagombea kwa wakazi wa Jimbo la Ilemela
John Nwalile ambae ni Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza akiwaombea kura wagombea kwa wakazi wa Jimbo la Ilemela
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Wilaya ya Ilemela akiwaombea kura wagombea kwa wakazi wa Jimbo la Ilemela
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Wilaya ya Ilemela akiwaombea kura wagombea kwa wakazi wa Jimbo la Ilemela
Viongozi, Wagombea na Makada wa Vyama vinavyounda Umoja wa Ukawa wakifuatilia Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Jimbo la Ilemela
Viongozi, Wagombea na Makada wa Vyama vinavyounda Umoja wa Ukawa wakifuatilia Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Jimbo la Ilemela
Wakazi wa Ilemela wakifuatilia Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Jimbo la Ilemela
Wakazi wa Ilemela wakifuatilia Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Jimbo la Ilemela
Wakazi wa Ilemela wakifuatilia Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Jimbo la Ilemela
Wakazi wa Ilemela wakifuatilia Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Jimbo la Ilemela.
Kwa mbali ni Gari la Kubebea wagonjwa lililotolewa na Mbunge wa Jimbo la Ilemela Highness Kiwia baada ya kupata ajali siku kadhaa zilizopita. Gari hilo lilikabidhiwa kwa Manispaa ya Ilemela na sasa limekufa baada ya kupata ajali ikizingatiwa kuwa halikuwa na Insurance.
Wakazi wa Ilemela wakifuatilia Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Jimbo la Ilemela
Kushoto ni Mwenyekiti wa Cuf  Wilaya ya Ilemela akimtambulisha Mgombea Ubunge katika Jimbo la Ilemela (Kulia)
Wakazi wa Ilemela wakifuatilia Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Jimbo la Ilemela
Ulinzi
Msanii Mahereni Jumanne akitoa burudani
Dancers wa Msanii Mahereni Jumanne
BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII

No comments:

Powered by Blogger.